JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

CCM kufadhili kitabu cha mzee Songambele kuenzi historia ya nchi, chama na Serikali

*Balozi Nchimbi atoa neno, akimwakilisha Dkt. Samia msibani Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema kitabu alichoandika Alhaj Mzee Mohamed Mustafa Songambele kitakuwa mojawapo ya rejea adhimu za historia ya Tanzania. Balozi Nchimbi amesema…

Dk Biteko azindua mkakati wa taifa wa mawasiliano wa nishati safi ya kupikia

๐Ÿ“Œ Aagiza usiishie kwenye makabati; ukatekelezwa katika ngazi zote za Serikali/Wadau ๐Ÿ“Œ Atoa wito kwa vyombo vya Habari kuwa mstari wa mbele uhamasishaji wa Nishati Safi ya Kupikia ๐Ÿ“Œ Asema Ajenda ya Rais Samia imeonesha mafanikio; Matumizi ya Nishati Safi…

Mahakama ya Haki za Binadamu yapata uongozi mpya; Jaji Modibo Sacko Rais Mpya

Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia, Arusha Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu leo imefanya uchaguzi wa viongozi wake wakuu kwa mafanikio makubwa, ambapo Jaji Modibo Sacko kutoka nchini Mali amechaguliwa kuwa Rais mpya wa Mahakama hiyo. Aidha nafasi…

TAWA kudhibiti Wanyamapori wakali Ikungi

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Mamlaka ya usimamizi wa wanyamapori (TAWA) imesema imeanza kutekeleza mikakati ya kudhibiti makundi ya wanyamapori wakali na waharibifu hususan tembo katika wilaya ya Ikungi mkoani Singida. Haya yamebainishwa leo June 2,2025 Bungeni Dodoma na Naibu Waziri wa…

Shinyanga kunufaika na miradi ya REA wauziwa kwa ruzuku mitungi 13000

๐Ÿ“ŒKila wilaya kunufaika na mitungi ya gesi 3,255 ๐Ÿ“ŒREA yachochea ushiriki wa wanawake katika shughuli za kiuchumi ๐Ÿ“ŒMradi kupunguza ukataji wa miti unaosababisha mabadiliko ya tabianchi Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeitambulisha kampuni ya Lake Gas Limited ambayo imepewa jukumu…