Category: MCHANGANYIKO
Ofisi ya Msajili Hazina yaongeza mapato yasiyo ya kodi kwa asilimia 40
Na Tatu Mohamed JamhuriMedia, Dar es Salaam OFISI ya Msajili wa Hazina imerekodi ongezeko la asilimia 40 katika makusanyo ya mapato yasiyo ya kodi ndani ya kipindi cha miezi 11, ikilinganishwa na kipindi kama hicho katika mwaka wa fedha uliopita….
Lissu aonywa na Mahakama kwa ‘No Reform, No Election’, Kesi yake yaahirisha hadi Juni 16
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam KESI inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, imeahirishwa hadi Juni 16, 2025 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, huku Mahakama ikimpa onyo kali kwa kutamka maneno bila ruhusa…
Lissu apandishwa kizimbani
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Dalaam Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu tayari amepandishwa kizimbani leo Juni 2, 2025 kwaajili ya kusubiri kutajwa kwa kesi mbili za jinai zinazomkabili ikiwemo uhaini na kuchapisha taarifa za uongo. Lissu ameingia mahakamani hapo…
Ilani CCM 2025-2030, Ummy asema imegusa ustawi na maendeleo ya wananchi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ummy Mwalimu, amekisifu na kukipongeza chama chake kwa kuja na vipaumbele tisa vinavyogusa maisha ya wananchi na huku akiamini serikali ijayo itafanyia…
Mwenge wa uhuru wazindua miradi saba Temeke
Na Heri Shaaban, JamhuriMedia, Dar es Salaam MWENGE wa Uhuru umezindua miradi saba ya maendeleo Wilaya ya Temeke Mkoa wa Dar es salaam yenye thamani ya shilingi bilioni 17. Akizungumza mara baada kuzindua miradi hiyo ya maendeleo mkuu wa wilaya…