Category: MCHANGANYIKO
Jenister Mhagama atajwa kuwa kinara kuwezesha mafanikio ya utalii tiba nchini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma WAZIRI wa Afya, Jenista Mhagama amesema ili kufikia ndoto kamili za Tanzania kuwa kitovu cha utalii tiba kuna haja ya kuwekeza kwenye ukarimu wa wageni kama ambavyo mashirika yanayofanya vizuri hasa yaa ndege yamekuwa yakifanya….
Samia aleta mapinduzi Tabora, miradi ya Trilioni 15 yaimarisha afya, elimu na miundombinu
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma Mkoa wa Tabora umetumia zaidi ya shilingi trilioni 15 kutekeleza miradi ya kimkakati katika sekta mbalimbali, tangu Serikali ya Awamu ya Sita iingie madarakani mwaka 2021 chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Mkuu…
Maafisa maendeleo ya Jamii furukuteni kutoa elimu ya ununuzi wa umma wa asilimia 30 – Mdemu
Na WMJJWM – Iringa ‎Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Felister Mdemu amewataka Maafisa Maendeleo ya Jamii nchini kuboresha utendaji wao wa kazi kwa kwa kuwa sekta hiyo ni mtambuka na inagusa…
NMB, DSE wazindua manunuzi, mauzo ya hisa kidijitali mkononi
BENKI ya NMB kwa kushirikiana na Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), wamezindua mashirikiano ya kimkakati na ya Kidijitali ya Ununuzi na Uuzaji wa Hisa za Kampuni mbalimbali zilizoorodheshwa DSE ambapo kupitia aplikesheni ya NMB mkononi unaeza kuipata…
Waziri Mambo ya Nje wa Cyprus akamilisha ziara yake nchini
Waziri wa Mambo ya Nje wa Cyprus Dkt. Constantinos Kombos amekamilisha ziara yake ya kikazi ya siku tatu nchini na kuagwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Said Shaib Mussa…