JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Homa ya mgunda isiwe kikwazo cha kutokula nyama

Na Edward Kondela,JamhuriMedia,Dodoma SERIKALI imesema ugonjwa wa Homa ya Mgunda usiwe kikwazo cha Watanzania kutokula nyama na kwamba asilimia tisini ya nyama inayopitia kwenye machinjio rasmi iko salama. Akizungumza jijini Dodoma kupitia vyombo mbalimbali vya habari, Mkurugenzi wa Huduma za…

Mbaroni kwa tuhuma za kutaka kuwauza wanaye albino Msumbiji

Baba ambaye anadaiwa kutaka kuwauza watoto wake watatu albino alikamatwa nchini Msumbiji wakati wakijadiliana kuhusu bei, Polisi wamesema. Mwanamume huyo (39) na kaka yake (34), walikamatwa katika Jimbo la Tete Magharibi.Wamekanusha shtaka hilo, kwa mujibu wa Polisi. Watu wenye ualbino…

Kesi ya aliyekuwa kigogo PSSSF na wenzake yaahirishwa tena

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Kesi ya aliyekuwa kigogo wa Mfuko wa Pensheni kwa watumishi wa Umma(PSSSF),Rajabu Kinande na wenzake Ashura Kapera (36), Farida Mbonaheri (33), Mohamed Miraji (47) na Msafiri Raha walikuwa wakikabiliwa na mashitaka manne likiwemo wizi imeahirishwa tena Chanzo…