Category: MCHANGANYIKO
Tume yakagua maandalizi ya uchaguzi mkuu mikoani
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, MJaji wa Rufani Jacobs Mwambegele ameendelea na ziara ya kutembelea mikoa ya Mbeya, Iringa na Dodoma kukagua maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 ambapo pamoja na mambo mengine alipokea taarifa za…
THBUB yawakumbusha waandishi wa habari kuzingatia maadili
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), imewashauri waandishi wa habari nchini, kujiepusha na vitendo vya rushwa ama kutangaza au kuchapisha habari zinazoweza kuvunja maadili na hata kuchochea vurugu katika kuripoti…
Tunduru kujengwa kituo cha kupooza umeme – Dk Samia
Na Kulwa Karedia,Jamhuri Media- Tunduru Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),Samia Suluhu Hassan amesema atahakikisha anajenga kituo cha kupoozea umeme katika Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma. Amesema kituo hicho kitakuwa na uwezo wa kuzalisha megawati 116 za ziada ambazo…
Rais Samia amwaga neema Songea
Na Kulwa Karedia ,JamhuriMedia,Songea Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu ameahidi kufanya mambo makubwa endapo atachaguliwa tena kuongoza nchi. Rais Samia ametoa kauli Septamba 21,2025 wakati akihutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Songea kwenye viwanja vya…
Maadhimisho ya Siku ya Faru Duniani, wahamasiaha uhifadhi wa faru
Picha za Matukio mbalimbali ya Maadhimisho ya siku Faru Duniani ambapo leo tarehe 22 Septemba 2025 Maafisa na Askari wa Hifadhi ya Ngorongoro kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Karatu, wadau wa Uhifadhi na Utalii na Wananchi wameungana katika Mbio…





