JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Mwili wa hayati Ndugai wawasili Kanisa la Mtakatifu Machel, Dinali ya Kongwa

Mwili wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Job Ndugai ukiwasili katika Kanisa la Anglikana- Mtakatifu Machael, Dinari ya Kongwa Wilayani Kongwa mkoani Dodoma tayari kwa Ibada ya kumuaga leo 11 Agosti, 2025. Ibada hii…

TRA yazindua kampeni ya elimu ya kodi kwa biashara za mtandaoni

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imezindua Kampeni ya Elimu ya Kodi kwa Biashara za Mtandaoni kwa lengo la kuhakikisha kila anayehusika na biashara hizo anajisajili ili aanze kulipa Kodi. Akizindua kampeni hiyo leo…

Mwili wa Ndugai wawasili Kongwa, wananchi wafurika kutoa heshima za mwisho

Mwili wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Job Ndugai wawasili Kongwa, Viongozi mbalimbali na Wananchi wa Wilaya ya Kongwa wajitokeza kwa wingi kuaga mwili wa Spika Mstaafu Job Ndugai katika viwanja vya stendi ya…

Katibu wa Siasa na Uenezi akanusha uvumi wa vurugu wakati wa kura za maoni Jimbo la Mbarali

Na Mwandishi Wetu, JakhuriMedia, Mbarali Katibu wa Siasa na Uenezi wa Kata ya Miombweni, Sevia Dickson Ngubi, amekanusha vikali taarifa zinazodai kuwa kulitokea vurugu wakati wa zoezi la kura za maoni lililofanyika wiki iliyopita katika kata hiyo. Akizungumza na vyombo…