Category: MCHANGANYIKO
KWA HILI LA OKWI Yanga inahadaa mashabiki wake
Edgar Aggaba, mwanasheria wa Emmanuel Okwi, nyota wa soka wa kimataifa kutoka Uganda, hakufika Dar es Salaam kusimamia kesi ya mchezaji huyo wakati Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ilipojadili mkataba na usajili wake katika klabu ya Yanga.
Lovy Longomba Gwiji aliyetokea katika familia ya wanamuziki
“Mtoto wa nyoka ni nyoka.” Usemi huu wa wahenga unajionesha wazi kwa baadhi ya familia zilizojaaliwa kuwa na vipaji vikubwa.
Vipaji hivyo vinaweza kuwa vya kucheza mpira, muziki, kucheza sarakasi, riadha, ndondi n.k.
Warioba, Spika Sitta wateketeza Sh 100bil
Mchakato wa Katiba haukuandaliwa vizuri
Kama tujuavyo Bunge la Mabadiliko ya Katiba limekumbwa na vurugu na misukosuko kiasi cha kutia aibu Taifa letu.
Nashindwa kusema Bunge hilo liliendelea kujadili Rasimu ya Katiba kwa ukaidi wa nani. Maana wakati wote magenge mbalimbali ya watu waliendelea kudai Bunge hilo lisitishe shughuli zake, hasa baada ya wabunge wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kususia Bunge hilo.
ongezi JWTZ kwa kutimiza miaka 50 -2
Juma lililopita, nilitoa pongezi kwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kutimiza miaka 50 tangu kuanzishwa Septemba Mosi, 1964. Ukweli Jeshi hili liliasisiwa baada ya Jeshi la Tanganyika (Tanganyika Rifles-TR) kuasi Januari 20,1964.
Pongezi ‘JAMHURI’, Maimuna Tarishi mapambano ya mauaji ya tembo
Tunaomba kukupongeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Maimuna Tarishi, na baadhi ya wadau kwa kufungua baadhi ya fahamu za Watanzania wazalendo na wanyonge, na huo ndiyo uongozi bora kwa viongozi wapenda maendeleo ya nchi yao.
- Ufaransa yapeleka ndege za kivita chapa Rafale UAE
- Israel yafanya mashambulizi mapya Beirut, Tehran
- Rais Samia afuturisha mabalozi, wakuu wa mashirika ya kimataifa, Ikulu Dar
- Waadhimisha Siku ya Wanawake kwa kupanda miti, kugawa misaada Babati
- Serikali Zanzibar yaimarisha ukuaji sekta ya viwanda kwa kuvutia uwekezaji
Habari mpya
- Ufaransa yapeleka ndege za kivita chapa Rafale UAE
- Israel yafanya mashambulizi mapya Beirut, Tehran
- Rais Samia afuturisha mabalozi, wakuu wa mashirika ya kimataifa, Ikulu Dar
- Waadhimisha Siku ya Wanawake kwa kupanda miti, kugawa misaada Babati
- Serikali Zanzibar yaimarisha ukuaji sekta ya viwanda kwa kuvutia uwekezaji
- Mgalau aendelea kuiunga mkono jamii kwa vitendo, asisitiza mashikamano na maadili
- Wakulima wa kahawa Kijiji cha Liyombo washauriwa kujiimarisha kimaendeleo kupitia mauzo ya zao hilo
- Rais Samia aiagiza Wizara ya Nishati kuimarisha akiba ya nishati ya mafuta
- FCC kuwalinda walaji
- Kwanini Serikali inamiliki hisa chache kwenye kampuni
- Baada ya onyo kali la DC Kaslida, wafugaji aondoka Same kwa hiari
- Muonekano wa eneo la Mradi wa ujenzi wa matanki ya kupokea mafuta
- Rais Samia aweka jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi wa matanki ya kupokea mafuta Bandari ya Dar
- Marekani yaiwekea vikwazo Rwanda
- Ubalozi wa Marekani Saudi Arabia washambuliwa