Category: MCHANGANYIKO
Mipasho Bunge la Katiba ikomeshwe
Bunge Maalum la Katiba limeahirisha vikao vyake hadi Agosti mwaka huu, kupisha vikao vya Bunge la Bajeti vitakavyopokea na kujadili taarifa za mapato na matumizi ya Serikali ya Muungano kwa mwaka 2014/2015.
Bunge hilo kabla ya kuahirishwa Aprili 25, mwaka huu kwa takriban miezi miwili, yaani tangu Februari 18, mwaka huu wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba walikuwa katika vikao vizito, wakifanya mambo makuu mawili. Watanzania tumeshuhudia.
IGP Mangu dhibiti udhaifu huu
Katika siku za karibuni, Jeshi la Polisi Tanzania limechukua hatua mbalimbali za kujisafisha mbele ya umma. Ni baada ya kubaini kwamba wananchi wengi walikuwa hawaridhiki na utendaji wa chombo hiki cha dola.
Yah: Litakuwa Taifa la watoto, wazee
Nianze kwa kuwapongeza kutimiza miaka makumi kadhaa ya Muungano, yaani Muungano ambao leo mnadai kuwa una kero ambazo sisi wakati tukiungana tuliona siyo kero za Muungano bali ni chachu za Muungano, na ndizo zinazofanya utamu wa Muungano kuwapo. Sina hakika,…
Nyalandu aweweseka siri kuvuja
*Aanza kuwasaka wabaya wake, awatisha Aprili 22, mwaka huu, Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akiwa na baadhi ya watendaji waandamizi wa Wizara hiyo mjini Dodoma, alitoa vitisho akiahidi kuwashughulikia wote aliodai kuwa wanavujisha siri za ofisi kwa watu…
Kipande abanwa Bandari
Yah: Tusichezee lugha yetu, wengine wanajuta
Wakati tunatawaliwa, wakoloni wote kwa awamu zao yaani Wajerumani, Waingereza na hata Wareno na Waarabu, wakati wakipita kwa biashara zao sisi Wazaramo na Wandengereko tulikuwa tunawasiliana kwa shida sana. Kuna wakati tulikuwa tunatumia lugha ya alama kuwasiliana. Baada ya kuanza…
- Mahenge Spinel; fursa ya uwekezaji wa kipekee katika soko la vituo duniani
- Mradi wa pamoja kukuza uchumi wa wanawake na kuimarisha mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia
- Pwani yazidi kuendeleza mafanikio sekta za umma na uwekezaji – Mnyema
- Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Handeni Mji kuzinduliwa Machi 5
- Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani, ACT Wazalendo wazindua mnara wa kumbukizi ya waliofariki Oktoba 29
Habari mpya
- Mahenge Spinel; fursa ya uwekezaji wa kipekee katika soko la vituo duniani
- Mradi wa pamoja kukuza uchumi wa wanawake na kuimarisha mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia
- Pwani yazidi kuendeleza mafanikio sekta za umma na uwekezaji – Mnyema
- Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Handeni Mji kuzinduliwa Machi 5
- Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani, ACT Wazalendo wazindua mnara wa kumbukizi ya waliofariki Oktoba 29
- Masauni atoa wito kutumia fursa zilizopo kwenye mazingira
- Israel na Iran zaendelea kushambuliana
- Prof. Shemdoe aelekeza maafisa lishe na Maendeleo ya Jamii kupatiwa usafiri
- Madini ya Tsavorite, fahari ya Tanzania isiyojulikana na wengi
- Vijana 93, 495 wanufaika mafunzo uanagenzi
- Ufaransa yapeleka ndege za kivita chapa Rafale UAE
- Israel yafanya mashambulizi mapya Beirut, Tehran
- Rais Samia afuturisha mabalozi, wakuu wa mashirika ya kimataifa, Ikulu Dar
- Waadhimisha Siku ya Wanawake kwa kupanda miti, kugawa misaada Babati
- Serikali Zanzibar yaimarisha ukuaji sekta ya viwanda kwa kuvutia uwekezaji