Category: MCHANGANYIKO
Majaliwa :Kamilisheni uchunguzi wizi vifaa vya hospitali
Na Mwandishi Maalum, JamhuriMedia, Sengerema WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameuagiza uongozi wa mkoa wa Mwanza uhakikishe unakamilisha uchunguzi wa watumishi wa Hospitali ya wilaya ya Sengerema wanaodaiwa kuhusika na wizi wa vifaa hospitalini hapo ili watakaothibitika wachukuliwe hatua za kisheria….
Rais Samia ahimiza ushiriki kufanikisha utekelezaji Sera ya Mambo ya Nje ya Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amehimiza ushiriki wa taasisi za umma, sekta binafsi, pamoja na watanzania waishio nje ya nchi (diaspora) katika kufanikisha utekelezaji wa Sera ya Mambo ya Nje ya Tanzania, Toleo…
Rais Samia akemea vikali wanaharakati wa nje wanaojaribu kuingilia masuala ya Tanzania na kuhatarisha amani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezielekeza Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Wizara ya Mambo ya Ndani, pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama kuchukua hatua za haraka dhidi ya…
Lissu arejeshwa Gerezani hadi Juni 2, kesi kusikilizwa kwa njia ya kawaida
– Mahakama yasema kesi kuendelea kusikilizwa kwa njia ya kawaida Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amerejeshwa rumande hadi Juni 2, 2025, baada ya kesi yake ya uhaini na…