JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Mikoko ni dhahabu ya bahari, dira ya maendeleo ya uchumi wa buluu

Na Stella Aron, JamhuriMedia, Tanga Mikoko ni moyo wa uchumi wa buluu. Bila mikoko,mazingira baharini yangekuwa dhaifu, maisha ya viumbe wa pwani yangepungua na uchumi wa jaii za pwani ungeathirika. Pamoja na faida hizo baadhi ya watu hukata mikoko kwa…

WMA yatoa onyo kwa wanaotumia vipimo batili kuwapunja wakulima

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma KAIMU Meneja wa Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA) Mkoa wa Njombe, Henry Msambila, ametoa onyo kali kwa wafanyabiashara na watu wote wanaotumia vipimo batili kwa lengo la kuwapunja wakulima, akibainisha kuwa kitendo hicho ni kosa…

Rais Samia atengua uteuzi wa Polepole, aondolewa hadhi ya ubalozi

Na Mwandishi Wetu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, kupitia Katibu Mkuu wake, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo imeeleza kwamba imepokea barua kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Moses Kusiluka ikitaarifu kuwa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu…

Polisi yawashikilia waandishi wa habari wawili Manyara

Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara limesema linawashikilia waandishi wa habari wawili Julius Msagati wa EATV na Given Mashati wa A24 waliokuwa mkoani humo kufuatilia upigaji kura za maoni ngazi ya udiwani leo eneo la Mererani. Kamanda wa Polisi Mkoa…

Maonesho ya Mashariki Creative Economy Expo 2025 kuzinduliwa rasmi Dar

Na Magrethy Katengu,JamhuriMedia,Dar es Salaam Culture and Development East Africa (CDEA) kwa kushirikiana na Tamasha, Tuzo za Filamu pamoja Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameandaa maonyesho ya Mashariki Creative Economy Expo 2025 ambapo yatawakutanisha wadau mbalimbali wa Sekta…