Category: MCHANGANYIKO
Waziri Mkuu akutana na balozi wa Tanzania nchini Japan
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amemtaka balozi wa Tanzania Nchini Japan Anderson Mutatembwa kusimamia utekelezaji wa sera ya mambo ya nje ikiwa ni pamoja na kudumisha diplomasia ya uchumi kwa kuhamasisha uwekezaji na upatikanaji wa masoko wa bidhaa za ndani. “Ni jukumu lako kwenda kutangaza fursa zilizopo hapa nchini,…
Bilioni 51 kutumika ujenzi wa barabara, masoko na stendi jijini Arusha
Na Mwandishi Wetu MRADI wa Uendelezaji wa Miji na Majiji Tanzania (TACTIC) unatekeleza miradi yenye thamani ya shilingi bilioni 51 katika Jiji la Arusha ikiwa ni sehemu ya uendelezaji wa Jiji hilo katika eneo la miundombinu ya barabara, masoko na…
Mnada wa PIKU waendelee kutoa bidhaa mbalimbali za kisasa kwa washindi
JUKWAA la Kidijitali la PIKU linaloendesha minada ya kipekee mtandaoni, limetangaza na kukabidhi zawadi kabambe kwa watu watatu walioibuka washindi kwa kujipatia bidhaa za kisasa na za thamani kupitia mnada huo. Mshindi wa kwanza katika mnada huo ni Jenipher Ayoub,…
Mgombea ubunge Ubungo kwa tiketi ya ACT Wazalendo aahahidi neema
Wafuasi wa Chama cha ACT Wazalendo wamejitokeza kwa wingi katika viwanja vya Manzese Bakresa, kushuhudia uzinduzi wa kampeni za ubunge wa mgombea wa Jimbo la Ubungo, Queen Julieth Lugembe. Katika uzinduzi huo mgombea Queen Julieth alizungumza na wananchi wa jimbo…
NIRC yaridhishwa na kasi ya ujenzi wa skimu ya Makwale – Kyela
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kyela Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) kupitia Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji wa Miundombinu, Mhandisi Leopard Runji, imefanya ziara ya ukaguzi wa miradi ikiwemo ujenzi wa skimu ya Umwagiliaji Makwale, iliyopo Kyela mkoani Mbeya….




