Category: MCHANGANYIKO
TANESCO Ruvuma yaanza kampeni ya majiko ya nishati safi ya kupikia
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) Mkoa wa Ruvuma limeanzisha mpango wa kuwakopesha majiko wateja wapya wanaounganishia umeme na kufanya marejesho kupitia mfumo wa malipo ya LUKU ili kuwapa fursa ya kutumia nishati safi ya umeme….
TANROADS inaendelea na utekelezaji wa miradi ya bilioni 383/- Mbeya
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya Serikali inaendelea na Ujenzi wa Barabara ya Njia Nne (Dual Carriageway) 29km Kuanzia Uyole (Nsalaga) hadi Ifisi yenye urefu wa kilomita 29, mradi huo unatekelezwa na Mkandarasi M/s China Henan International Cooperation Group Co. Ltd…
Dk Samia : Tutajenga kingo mto Kanoni kukomesha mafuriko Bukoba
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi Serikali yake itakayoundwa endapo atachaguliwa kuingia madarakani mwakani, itatekeleza mradi mkubwa wa ujenzi wa kingo za kudumu katika Mto Kanoni, hatua…
Waziri Mkuu aelezwa faida za kilimo ikolojia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tanga WADAU wa Kilimo Ikolojia nchini wamemueleza na kumuoneshaWaziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa faida za kilimo ikolojia katika kujenga taifa lenye jamii na mazingira endelevu. Waziri Mkuu Majaliwa amepata maelezo hayo baada ya kutembelea banda…
Serikali yaitaka NIDA kuboresha utendajikazi, yaipatia magari 140
Serikali imeipatia Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) magari mapya 140 ili kuboresha zaidi utendaji kazi wa Mamlaka hiyo, hatua ambayo imepokelewa kwa mikono miwili na hasa ikizingatiwa kuwa miongoni mwa changamoto kubwa zlizokuwa zikiikabili Mamlaka hiyo ilikuwa ni uhaba…
Dk Mpango amwakilisha Rais Samia mkutano wa SADC
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ameshiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-Organ Troika Summit)…




