Category: MCHANGANYIKO
Mtoto mchanga wa siku 14 aibiwa mtaa wa Iyela One jijini Mbeya
Na Manka Damian, JamhuriMedia, Mbeya MTOTO wa jinsi ya kiume mwenye umri wa siku 14 mkazi wa Mtaa wa Iyela One Kata ya Iyela Jijini Mbeya ameibwa na mtu asiyejulikana muda mfupi mama yake Neema Mkunywa alipotoka kumsindikiza mgeni. Neema…
Waandishi wazingatie maadili na sheria za uandishi
Na Pendo Nguka, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, amewataka waandishi wa habari nchini kuzingatia misingi ya taaluma ya uandishi wa habari kwa kutoa taarifa sahihi, zenye uhalisia na kuepuka matumizi ya picha…
Same yachukua hatua kudhibiti migogoro ya ardhi
Na Ashrack Miraji,JamuhuriMedia, Same Mkuu wa Wilaya ya Same, Kasilda Mgeni, ametoa wito kwa watendaji wa Halmashauri ya Wilaya hiyo, wakiwemo Afisa Ardhi, Mwanasheria na Madiwani, kushirikiana kwa karibu katika kutatua migogoro ya ardhi kwenye kata zote za wilaya hiyo….
Nyongeza ya mshahara yapokelewa kwa shangwe na wafanyakazi Njombe
Na Happiness Shayo, JamhiriMedia, Ludewa Wafanyakazi wilayani Ludewa, mkoani Njombe, wamepokea kwa shangwe na furaha nyongeza ya mshahara kwa watumishi wa umma, iliyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Akizungumza katika maadhimisho Siku…