Category: MCHANGANYIKO
Dk Biteko aeleza mapinduzi yaliyofanywa na Serikali sekta ya elimu
📌 Ataka CWT wasigawanyike, ahimiza amani, upendo na mshikamano* 📌 Serikali kuendelea kuajiri walimu kila mwaka 📌 Serikali ya Awamu ya Sita yajenga madarasa 62,685 ya shule za msingi na sekondari, shule mpya za msingi na sekondari 2,611 na nyumba…
Shekhe Mavumbi ahamasisha waislamu kupiga kura
Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora WAUMINI wa dini ya kiislamu Mkoani Tabora wametakiwa kujitokeza kwa wingi kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu ili kuchagua madiwani, wabunge na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wito huo umetolewa leo na Shekhe…
Viongozi 20 wa CCM Kibaha Mjini waachia ngazi kwa nia ya kugombea udiwani
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Viongozi 20 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kibaha Mjini, mkoani Pwani—wakiwemo Wenyeviti, Makatibu na Makatibu wa Jumuiya mbalimbali—wameachia nafasi zao wakitarajia kugombea Udiwani wa Kata pamoja na Viti Maalum katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba…
Bilioni 916.7/- zipo tayari, someni miongozo, ombeni mikopo ya elimu
Na Dk. Reubeni Lumbagala, JamhuriMedia, Tanga Elimu ni gharama. Wahenga wakaweka wazi ukweli huu kwa kusema “Ikiwa unaona elimu ni ghali, basi jaribu ujinga.” Ni ukweli ulio dhahiri kuwa gharama za kupata elimu ziko juu, ndiyo maana serikali ikachukua jukumu…
Balozi Nchimbi aongoza waombolezaji kumuaga mzee Mongela
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ameongoza mamia ya waombolezaji, katika utoaji wa heshima za mwisho na hatimae mazishi ya Mzee Silvin Ibengwe Emmanuel Mongella, mwenza wa mmoja wa viongozi waandamizi wastaafu nchini, Bi….
Serikali : Hatutarajii wawekezaji kushindana na Watanzania kwenye biashara ndogondogo
Na Mwandishi Wetu SERIKALI imetoa wito kwa wawekezaji wa kimataifa kuwekeza nchini kwa kiwango kikubwa na katika miradi ya kimkakati, ikisisitiza kuwa haivutii wawekezaji wanaokuja kushindana na Watanzania kwenye biashara ndogondogo. Wito huo umetolewa leo jijini Dar es Salaam na…