JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Balozi Nchimbi aongoza waombolezaji kumuaga mzee Mongela

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ameongoza mamia ya waombolezaji, katika utoaji wa heshima za mwisho na hatimae mazishi ya Mzee Silvin Ibengwe Emmanuel Mongella, mwenza wa mmoja wa viongozi waandamizi wastaafu nchini, Bi….

Serikali : Hatutarajii wawekezaji kushindana na Watanzania kwenye biashara ndogondogo

Na Mwandishi Wetu SERIKALI imetoa wito kwa wawekezaji wa kimataifa kuwekeza nchini kwa kiwango kikubwa na katika miradi ya kimkakati, ikisisitiza kuwa haivutii wawekezaji wanaokuja kushindana na Watanzania kwenye biashara ndogondogo. Wito huo umetolewa leo jijini Dar es Salaam na…

Makamu wa Rais kumwakilisha Rais mkutano wa bahari nchini Ufaransa

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango, leo tarehe 07 Juni 2025 ameondoka nchini kuelekea Ufaransa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano wa Tatu wa…

Serikali inatambua mchango wa viongozi wa dini – Majaliwa

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita inawaamini na inathamini mchango wa viongozi wa dini wa madhehebu yote. Amesema serikali itaendelea kuimarisha ushirikiano kati yake na viongozi hao ili kujenga amani, mshikamano na ustawi wa jamii ya…

Mahakama ya Afrika yasikiliza kesi ya utekelezaji wa maamuzi kwa jamii ya Ogiek dhidi ya Kenya

Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia, Arusha Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) imeendelea kusikiliza shauri la jamii ya Ogiek kutoka Kenya dhidi ya serikali ya nchi hiyo, wakidai kutotekelezwa kwa maamuzi ya awali ya Mahakama kuhusu haki zao…

Ummy awasilisha salam za pole msiba wa mdogo wake Lukuvi

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Mhe. Ummy Nderiananga, amewasilisha salamu za pole kwa niaba ya Serikali kwa familia ya Mhe. William Lukuvi kufuatia msiba wa mdogo wake, Mtwa Xavier Lukuvi. Ibada ya mazishi imefanyika tarehe…