JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Ofisi ya Msajili wa Hazina yalenga kukusanya Sh2 trilioni

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pwani Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH) imejiwekea lengo la kukusanya kiasi cha Sh 2 trilioni kama mapato yasiyo yakikodi katika mwaka wa fedha 2025/26, imebainishwa. Hayo yalisemwa Jumatatu, Julai 28, 2025, na Msajili wa Hazina…

Hatma ya watia nia CCM sasa kujulikana leo Julai 29

Mbivu na mbichi za wagombea nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi ujao kujulikana leo Julai 29,2025 saa nne asubuhi baada ya kazi hiyo kushindwa kukamilika jana kama ilivyokuwa imefahamishwa. Jana Julai 28,2025 Katibu wa…

Waziri Kombo asifia nchango wa Africa CDC katika kulinda afya ya Afrika

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amefanya ziara katika Makao Makuu ya Kituo cha Afrika cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (Africa CDC) jijini Addis Ababa, Ethiopia ambapo amepongeza juhudi za…

RC Kunenge : Vipaumbele vya halmashauri na manispaa vizingatie dira ya Taifa 2050

Na Mwamvua Mwinyi, JammhuriMedia, Kibaha Alhaj Abubakar Kunenge, Mkuu wa Mkoa wa Pwani, ametoa msisitizo kwa Manispaa ya Mji wa Kibaha pamoja na halmashauri mkoani humo, kuhakikisha zinazingatia Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM),…