Category: MCHANGANYIKO
NMB yamwaga mamilioni maonesho ya kitaifa ya Nanenane
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Dodoma BENKI ya NMB imekabidhi Sh100 Milioni kwa Wizara ya Kilimo ili kusaidia kwenye maandalizi ya maonyesho wakulima, wafugaji na wavuvi maarufu kama nanenane. Kiasi hicho ni sehemu ya jumla ya Sh470 milioni ambazo NMB imefadhili kwa…
Jitihada za pamoja zinahitajika kupambana na udumavu – Dk Yonazi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam KATIBU Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dkt. Jim Yonazi, ametoa wito kwa Serikali na wadau kushirikiana kwa karibu katika mapambano dhidi ya tatizo la udumavu nchini. Akizungumza katika…
Waziri Mkuu amwakilisha Rais Dk Samia mkutano Mkuu wa ACTIF 2025 nchini Grenada
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa Julai 27, 2025 amewasili mjini St. George’s, nchini Grenada ambapo atamwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Jukwaa la nne wa Kibiashara na Uwekezaji kati ya Afrika na Karibiani (Afri-Caribbean Trade and Investment Forum – ACTIF…
CCM yahimiza mshikamano vyama vya ukombozi
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema ni muhimu kukuza ushirikiano na mshikamano wa vyama sita rafiki vya ukombozi Afrika. Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mizengo Pinda alisema hayo akimwakilisha Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Samia…
Waziri Kombo ataka mikakati endelevu ya kisekta kuimarisha mifumo ya chakula kimataifa
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amesisitiza umuhimu wa kuchukua hatua madhubuti na za pamoja katika kuimarisha mifumo ya chakula ili kuhakikisha ushiriki endelevu wa Tanzania katika ajenda za maendeleo ya…
CRDB yapongezwa kwa kuwajengea uwezo wajasiriamali kupitia mafunzo ya kidijitali
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam KATIBU Tawala wa Wilaya ya Ilala, Charangwa Makwiro, ameipongeza Benki ya CRDB kwa juhudi zake katika kuwawezesha wajasiriamali kupitia mafunzo ya teknolojia na matumizi ya mitandao ya kijamii katika kuendesha biashara. Akizungumza kwa…





