JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Asilimia 20 ya wahitimu CBE wajiajiri wenyewe

Waliosoma CBE wampongeza Profesa Edda Lwoga kwa mageuzi makubwa Kongamano la fursa za ajira CBE laleta neema kwa wanafunzi Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam UTAFITI uliofanywa na Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kuhusu wahitimu wake umeonyesha kuwa…

Watuhumiwa 349 wakamatwa Pwani, wahalifu sugu 31

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limewakamata watuhumiwa 349, wakiwemo wahalifu sugu 31 ambao kwa muda mrefu walikuwa mafichoni. Aidha baadhi yao waliwahi kufungwa jela kwa makosa mbalimbali, ikiwemo unyang’anyi wa kutumia silaha (kama mapanga),…

Halmashauri Mafia yatakiwa kuimarisha usimamizi wa mapato na kukamilisha miradi viporo

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Mafia Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, mkoani Pwani, imetakiwa kuongeza juhudi katika kusimamia ukusanyaji wa mapato na kuhakikisha inaendelea kutenga fedha kwa ajili ya kukamilisha miradi iliyosimama kwa muda mrefu. Maagizo hayo yametolewa na Katibu Tawala…

Ni huzuni; mama aua watoto wake wanne kwa kuwanywesha sumu Tabora

Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora Mwanamke mmoja mkazi wa Kijiji cha Lugubu, Kata ya Lugubu Wilayani Igunga Mkoani Tabora amepoteza maisha na watoto wake wanne baada ya kunywa sumu aina ya ruruka 80WDG itumikayo kuulia viwaji jeshi. Kamanda wa Jeshi…

Viongozi wa Dini Kiteto – Mbunge Lekaita ni tumaini la wananchi wa Kiteto ni kiongozi hodari

Na Mary Margwe, JamhuriMedia, Dodoma Viongozi wa Dini wilayani Kiteto Mkoani Manyara wamempongeza mbunge wa Jimbo hilo Wakili Msomi Edward Ole Lekaita kwa uwajibikaji wake katika kuwaletea Maendeleo wananchi wakem huku wakidai ni mbunge huyo ni Tumaini la wana-kiteto Hayo…