Category: MCHANGANYIKO
Ukatili wa watoto mtandaoni faini sh.50 milioni
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali kupitia wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wanawake na Makundi Maalum imeendelea kuimarisha mifumo ya kisheria kwa kufanya marekebisho ya Sheria Tatu ambazo ni Sheria ya Mtoto, Sura ya 13, Sheria ya Makosa ya Kimtandao, Sura ya 443,…
Kuelekea Bajeti ya Wizara ya Elimu wananchi Mwanza, Dodoma waipa heko Sera Mpya ya Elimu 2024
NA Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mtaala mpya wa elimu umeanza kutumika rasmi kuanzia Januari 2024 ambao una lengo la kuimarisha ujuzi, stadi, ubunifu, na maarifa kwa wanafunzi, na kutilia mkazo zaidi mafunzo kwa vitendo (competency-based curriculum) badala ya kuzingatia kukariri….
Serikali kununua mitambo kusafishia Ziwa Victoria
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amesema Serikali ipo kwenye mchakato wa mwisho wa kununua mitambo mitatu ya kisasa kwa ajili ya kushughulikia changamoto ya magugu maji katika Ziwa Victoria. Mhe. Mtanda amesema…
Tanzania Afrika Kusini zakubaliana kushirikiana kiuchumi
Tanzania na Afrika Kusini zimekubaliana kuendelea kushirikiana na kufanya kazi kwa pamoja ili kukuza Ushirikiano wa kiuchumi kati ya nchi hizo Makubaliano hayo yamefikiwa wakati wa Mkutano kati ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe….
Tanzia; Charles Hilary afariki dunia
Charles Hilary (66), ambaye alikuwa ni Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu ya Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, amefariki dunia. Hilary amefariki alfajiri ya leo na taarifa kutoka kwa watu wa karibu wamesema ameugua ghafla…