Category: MCHANGANYIKO
Ulega awasimamisha kazi wasimamizi wa mizani barabara kuu TI Dar – Zambia
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMediaDar es Salaam Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Balozi Aisha Amour, kuwasimamisha kazi wasimamizi wote wa Mizani waliokuwa zamu katika Mizani zilizopo katika barabara kuu ya T1 inayoanzia Dar es…
Kamati ya Kudumu ya Bunge yapongeza ujenzi wa jengo la Wizara ya Nishatu Mtumba
📌Ujenzi wafikia asilimia 94 📍DODOMA Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imekagua ujenzi wa jengo la Wizara ya Nishati katika mji wa Serikali Mtumba na kuipongeza Wizara kwa hatua ya ujenzi iliyofikiwa kwa asilimia 94. Mwenyekiti wa…
NIT mbioni kuanzisha chuo cha mafunzo ya urubani nchini
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Serikali kupitia Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT)ipo mbioni kuanzisha utoaji wa mafunzo ya Urubani ambapo Chuo kimekamilisha matakwa ya kupata ithibati kutoka TCAA na hivyo mafunzo haya yanatarajiwa kuanza mwezi Mei 2025. Mkuu wa Chuo cha…