Category: MCHANGANYIKO
Chana atoa maagizo halmashauri za wilaya
Halmashauri za wilaya zote zimeagizwa kuanzisha matamasha ya utalii na uhifadhi huku zikitakiwa pia kuwalinda wananchi dhidi ya wanyamapori wakali na waharibifu. Akizungumza Desemba 21, 2024 wilayani Same mkoani Kilimanjaro, wakati wa ufunguzi wa Tamasha la Utalii la Same kwa niaba…
Bashungwa awajulia hali majeruhi ajali ya Biharamulo, abiria 11 wapoteza maisha
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amefika eneo ilipotokea ajali ya basi la abiria lenye namba za usajili T857 DHW, katika eneo la Kabukome katika Kata ya Nyarubango wilayani Biharamulo mkoani Kagera na kuwajulia hali majeruhi wanaoendelea…
IGP Wambura afumua Kikosi cha Usalama Barabarani
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus M. Wambura amefanya mabadiliko madogo kwa Wakuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani. Amemhamisha Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Ramadhani Ng’anzi kutoka Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabaarani Tanzania kwenda Makao Makuu…
Majaliwa aipongeza Wizara ya Ujenzi kurejesha mawasiliano barabara Kuu Manyara – Singida
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameipongeza Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), kwa kurejesha mawasiliano ya barabara Kuu ya Manyara – Singida ambayo iliathirika Desema 3, 2023 wakati wa maafa ya maporomoko ya tope la mlima Hanang Mkoani…
Kampeni ya Mama Samia yapatiwa magari 10
Waziri wa Katiba na Sheria Dk. Damas Ndumbaro,akizindua magari 10 kwa ajili ya Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) ili kuongeza kasi ya utoaji huduma hiyo kwa watanzania hafla iliyofanyika leo Disemba 20,2024 jjijini Dodoma. Na Mwandishi…
DK. Mwinyi aweka jiwe la msingi Flyover Kwerekwe
Na Mwandishi Maalum, Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewahakikishia wananchi kuwa Serikali ina mipango thabiti, Madhubuti na mizuri ya kupata fedha kwaajili ya maendeleo zaidi. Ameyasema hayo alipoweka jiwe la msingi…