Category: MCHANGANYIKO
Akamatwa kwa kung’oa bendera za CUF Kondoa
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Kondoa Mtu mmoja anashikiliwa na Jeshi la Polisi wilaya ya Kondoa Mkoani Dodoma baada ya kukamatwa akiing’oa bendera na mabango ya Chama cha Wananchi (CUF) . Hayo yamejiri wakati wa mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa Chama…
MOIL: Tunaunga mkono kwa vitendo mkakati wa Taifa wa nishati safi
Na Mwandishi Wetu, JammhuriMedia, Dar es Salaam MKURUGENZI wa MOIL, Altaf Mansoor, ameishukuru Wizara ya Nishati kwa fursa ya kuandaa Kongamano na Maonesho ya Petroli Afrika Mashariki (EAPCE’25), ambalo limefanyika kwa siku tatu. Akizungumza katika kongamano hilo, Mansoor amesema kuwa…