Category: MCHANGANYIKO
Dotto Bahemu amechukua fomu ya kugombea ubunge Ngara
KutokaNgara Mkuu wa vipindi Clouds TV ambaye pia ni Muasisi na Mratibu wa programu ya #Kurasa365ZaMama @dottobahemu_ leo amewasili katika ofisi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya Ngara na kuchukua fomu kwa ajili ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na Chama…
Majaliwa : Nimelitumikia Jimbo la Ruangwa miaka 15 inatosha, asanteni
WAZIRI MKUU, na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa Kassim Majaliwa leo Julai 2, 2025 ametangaza rasmi kutokugombea tena ubunge wa jimbo la Ruangwa baada ya kulitumikia jimbo hilo kwa miaka 15. Akizungumza na wajumbe wa kamati ya Siasa ya Mkoa…
…Wabunge ‘mabubu’ hawa hapa
*Takwimu zawaonyesha ambao kwa miaka mitano hawajawahi kuzungumza lolote bungeni *Yaani hawakutoa hoja, kuchangia hoja, kuuliza swali la msingi wala kuuliza swali la nyongeza Na Dennsi Luambano , JamhuriMedia, Dar es Salaam Wakati wabunge wakijipambanua kuwa ni wawakilishi wa wananchi…
Wanawake wanne, wanaume 12 wajitosa kumvaa Koka Jimbo la Kibaha Mjini
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha MWENYEKITI wa Shirikisho la Watu wenye Ulemavu (SHIVYAWATA) Mkoa wa Pwani Tatu Kondo amechukua fomu ya Udiwani Vitimaalum Kibaha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Tatu amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa Jumuiya ya Umoja…
Dk Mpango aikaribisha Vietnam kiuchangamkia uwekezaji nchini
Na Mwandishi Maalum Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango ameikaribisha Vietnam kuchangamkia fursa za uwekezaji nchini kama vile kilimo, viwanda vya nguo na viwanda vingine vya uzalishaji. Dk Mpango amesema hayo alipokutana na kuzungumza na Naibu Waziri Mkuu wa Vietnam,…
Mkazi wa Magomeni ashinda gari Ford Ranger kupitia Kampeni ya Tembocard ni Shwaa ya CRDB
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MKAZI wa Magomeni, Rahabu Mwambene, ameibuka mshindi wa gari aina ya Ford Ranger XLT katika droo ya tatu ya kampeni ya Tembocard ni Shwaa, iliyoandaliwa na Benki ya CRDB. Droo hiyo imefanyika ikiwa…





