JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

RC Mara awataka viongozi kuacha kufanyakazi kwa mazoea

Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanal Evans Mtambi amewataka viongozi katika mkoa huo kuacha kufanya kazi kwa mazoea wakati wakuwahudunia wananchi nakutokuwa kikwazo cha kutanzua changamoto zinazowakabili Kanali Mtambi ametoa kauli hiyo wakati akifungua mafunzo kwa kamati ya Usalama ya…

Tanzania yasaini makubaliano na Serikali ya Korea ujenzi wa mradi wa maji taka Dar

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesaini makubaliano na Serikali ya Jamhuri ya Korea Kusini kwa ajili ya ujenzi wa mradi mfumo wa uchakataji maji taka Mkoa wa Dar es Salaam mradi…

Mtoto wa miaka 10 ajinyonga juu ya mti

Na Isri Mohamed Jeshi la polisi Mkoa wa Tabora limethibitisha kifo cha mtoto Ramadhan Sabai (10) kilichotokea kwa kujinyonga juu ya mti wa mwembe. Mtoto huyo ambaye ni mwanafunzi wa darasa la pili katika Shule ya Msingi Igunga iliyopo kata…

Dkt.Mpango : Vitendo vya rushwa bado ni tatizo nchini

Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia, Arusha Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amesema wananchi bado wana malalamiko mengi juu ya vitendo vya rushwa na kunyimwa haki kufuatia ripoti za Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) na ya Mamlaka ya…

Tuwainue wabunifu wazawa kuwanadi kimataifa – Dk Biteko

📌 Asisitiza Mifumo iboreshwe kuakisi Maendeleo 📌 Serikali kuweka Mazingira wezeshi kwa wadau wa STARTUPs Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa pamoja na jitihada…