JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Kaya 3,255 kunufaika na majiko ya gesi ya ruzuku Wilaya ya Mlele

πŸ“ŒWananchi waipongeza Serikali kwa makati huo Wananchi Kijiji cha Usevya Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi wamepongeza hatua zinazochukuliwa na Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika kuhakikisha wanafikiwa na nishati safi ya kupikia kwa bei ya ruzuku. Wametoa pongezi…

Watanzania tusikubali uchaguzi utugawe- Dk Biteko

πŸ“Œ Asema Kuna Maisha baada ya Uchaguzi πŸ“Œ Amwakilisha Rais Samia,miaka 40 Kanisa Anglikana Dayosisi ya Kagera πŸ“Œ Rais Samia achangia Tsh. Milioni 50 Ujenzi wa Kanisa Dayosisi ya Kagera πŸ“Œ Anglikana Waishukuru Serikali, washirika wa maendeleo Na Ofisi ya…

Rais Samia azungumza na viongozi wa TUCTA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) Ikulu jijini Dar es Salaam, tarehe 12 Agosti, 2025. Viongozi hao wamempongeza na kumshukuru Rais Dkt. Samia…

Ukombozi wa kiuchumi ni safari ndefu, SADC yakumbushwa

Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) zimekumbushwa kuwa ukombozi wa kiuchumi ni safari ndefu na ili kuifikia nchi hizo zinahitaji mtangamano wenye nguvu na usioyumbishwa katika utekelezaji wa malengo waliyojiwekea. Hayo yamesemwa na Waziri wa Mambo ya…

NGO ziwe mawakala wa mabadiliko chanya – Dk Jingu

Na WMJJWM – Dodoma Mashirika Yasiyo ya Kiserikali yametakiwa kuwa mawakala wa mabadiliko chanya katika jamii katika utekelezaji wa miradi mbalimbali kwenye jamii. Hayo yamesemwa leo Agosti 12, 2025 na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake…