Category: MCHANGANYIKO
Kiwanda cha kusafisha na kuongeza thamani madini adimu kujengwa Ngwala, Songwe
▪️Uendelezaji wa Mradi kuanza rasmi Disemba 2025 ▪️Ni mradi wa Madini Adimu utakaogharimu Bilioni 771 ▪️Waziri Mavunde azindua zoezi la ulipwaji fidia wananchi 192 ▪️Wananchi wamshukuru Rais Samia kwa mazingira ya uwekezaji ▪️Serikali kuvuna mapato ya zaidi ya Trilioni 12…
Dk Jingu ataka elimu ya stadi ya maisha iguse jamii
WMJJWM- Dodoma Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. John Jingu, ametaka huduma na elimu ya stadi za maisha zinazotolewa katika Makao ya Taifa ya kulelea watoto Kikombo Dodoma kufikia Jamii. Dkt. Jingu amesema…
Makamu wa Rais afungua mkutano wa mwaka wa Chama cha Wafanasia Tanzania
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametoa rai kwa wafamasia nchini kuendelea kulipa kipaumbele suala la elimu ya matumizi sahihi ya dawa ili kuisaidia jamii kutambua na kuepuka madhara ya matumizi holela ya…
Utendaji kazi wa Wizara ya Nishati na taasisi zake waimarika kwa zaidi ya asilimia 95
📌 Dkt. Biteko apongeza; akumbusha Watendaji umuhimu wa tathmini katika kuboresha utendaji kazi 📌 Ataka TANESCO kuendelea kuboresha miundombinu ya umeme; kubuni vyanzo vipya 📌 Aziagiza Taasisi chini ya Wizara kuungana kuitekeleza Ajenda ya Nishati Safi ya Kupikia 📌 Ofisi…





