JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Rais Mwinyi azindua Rasimu ya Dira ya 2050

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema malengo makuu ya Rasimu ya Dira ya Maendeleo ya Taifa ni kugusa moja kwa moja katika kuboresha maisha ya watu, elimu, afya, ustawi wa amani na…

Arusha wamshukuru Rais Samia

📌Majiko ya Gesi ya Ruzuku yawafikia Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha wamemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa mradi wa kusambaza majiko ya gesi kwa bei ya ruzuku ya asilimia 50 katika halmashauri hiyo. Wametoa pongezi hizo Desemba…

Miaka 30 jela kwa kumbaka mtoto mlemavu wa kusikia na kuongea

Na Daniel Limbe, JamhuriMedia, Chato MKAZI wa kijiji cha Msilale,Mkama Mwizarubi (26) amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka mtoto mwenye ulemavu wa kusikia na kuongea (Bubu) kinyume cha sheria za nchi. Hukumu hiyo…

REA yaendesha mafunzo na kugawa majiko ya gesi kwa makundi maalum Bukombe

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Bukombe Wakala wa Nishati Vijijini (REA); tarehe 10 Desemba, 2024 imeendesha mafunzo maalum kuhusu matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa kushirikiana na Taasisi ya Maendeleo ya Viziwi Tanzania (TAMAVITA) na kisha kugawa majiko ya gesi…

Maofisa wa ubalozi wa Uganda ‘wakunwa’ na maendeleo ya mradi wa EACOP hapa nchini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tanga Msafara wa maofisa wa ubalozi wa Uganda hapa nchini ukiongozwa na Balozi Kanali (mstaafu) Fred Mwesigye umesema kuwa umefurahishwa na kasi ya utekelezaji wa mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika ya Mashariki (EACOP)…

TANESCO tunathamini wadau wa maendeleo – Nyamo-Hanga

📌 Asema Serikali inaangalia njia bora ya kushirikisha Sekta Binafsi katika Ujenzi na Mifumo ya usafirishaji umeme 📌 Aeleza faida za Tanzania kufanya biashara katika soko la EAPP na SAPP Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Mha. Gissima…