JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

EWURA yatangaza kushuka kwa bei ya petroli

Na Mwandishi Wetu Bei ya petroli, dizeli na mafuta ya taa kwa mwezi Juni 2025, imeendelea kuleta nafuu kwa watumiaji wa vyombo vya moto, nchini, ikilinganishwa na bei za mwezi Mei 2025. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya…

Raia wa nchi 71 kuingia Tanzania bila Viza

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma SERIKALI imeingia makubaliano na nchi mbalimbali ili kurahisisha utaratibu wa viza ambapo raia wa nchi 71 hawahitaji viza wanapoingia nchini. Kwa sasa watalii kutoka mataifa mengi zaidi duniani wanaruhusiwa kupata visa wanapowasili (visa on arrival)…

TRA kukusanya trilioni 43.10 2025-2026

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Bunge la bajeti likiwa linaendelea Dodoma,Waziri wa Fedha,Dkt Mwigulu Nchemba amesema kwa mwaka wa fedha 2025/26, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inatarajia kukusanya mapato ya kodi na yasiyo ya kodi ya jumla ya shilingi trilioni 34.10. Hayo…

Rais Mstaafu Kikwete aongoza ujenzi wa Taasisi Himilivu ya Ubia wa Elimu Duniani

Na Mwandishi Wetu Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete ameongoza Mkutano wa Bodi ya Taasisi ya Ubia wa Elimu Duniani (Global Partnership for Education, GPE), ambaye yeye ni Mwenyekiti wake. Mkutano huo unaofanyika Paris, Ufaransa tarehe 3-4 Juni, 2025 unahudhuriwa na Wajumbe…

Tanzania yatoa rai kwa Jumuiya ya Kimataifa kudhibiti vyanzo vikuu vya migogoro duniani

Na Mwandishi Wetu Tanzania imetoa rai kwa Jumuiya ya Kimataifa kuweka mikakati madhubuti ikiwemo kuwashirikisha wanawake katika masuala ya amani na usalama ili kudhibiti migogoro ambayo vyanzo vyake vikuu ni ukabila, ubaguzi wa rangi, itikadi kali na migogoro kuhusu maliasili…

Balozi Nchimbi msibani kwa mzee Mongella

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akisaini kitabu cha maombolezo na kumpatia pole, Mama Gertrude Ibengwe Mongella, familia yake na waombolezaji wengine, kwa msiba wa Mzee Silvin Ibengwe Emmanuel Mongella, ambaye ni mwenza wa…