Category: MCHANGANYIKO
Waziri wa Afya kuongoza uzinduzi Mradi wa Ustawi wa Watoto
Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa afya nchini Dkt: Jenista Mhagama anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa mradi wa ustawi kwa watoto wenye changamoto ya ugonjwa wa usonji. Mradi huo ambao umeandaliwa na taasisi…
Wathibiti ubora wa shule na vyuo wahimizwa kukaa mguu sawa elimu ya amali
Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia, Arusha Wathibiti ubora wa shule za sekondari na vyuo nchini, wamehimizwa kukaa mguu sawa kuhakikisha elimu ya amali inatekelezwa ipasavyo kutokana na mafunzo wezeshi yaliyotolewa ili jamii na serikali ziweze kufikia malengo yao. Akizungumza wakati wa…
Wahasibu Afrika waaswa kuisimamia ukweli wa taaluma yao
📌 Dkt. Biteko amwakilisha Rais Samia Kufunga Mkutano AA 📌 Asema Afrika Inawategemea Wahasibu Kunufaika na Utajiri wake 📌 Asisitiza Matumizi ya Teknolojia kwa Wahasibu Afrika Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na…
Wanajiosayansi nguzo muhimu kufanikisha vision 2030
Na Ashrack Miraji,JamhuriMedia, Tanga Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo amesema kuwa wanajiosayansi ni nguzo muhimu katika kufanikisha dhana ya Vision 2030: Madini ni Maisha na Utajiri. Mbibo ameyasema hayo Desemba 04, 2024 Jijini Tanga wakati akifungua Mkutano…
Chuo cha Serikali za Mitaa chamuunga mkono Rais Samia Matumizi ya nishati safi
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,DODOMA CHUO cha Serikali za Mitaa Hombolo (LGTI)kimejizatiti kuunga mkono juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, katika kuhakikisha matumizi ya nishati safi yanapata kipaumbele nchini. Akizungumza na waandishi wa habari katika Kongamano…
Aweso ajikita katika matumizi ya teknolojia suluhu ya upotevu wa maji nchini
SEOUL, KOREA Waziri wa Maji Mhe Jumaa Hamidu Aweso(MB) amewasili Seoul nchini Korea Kusini kwa mualiko maalumu wa Benki ya Exim ya Korea na mfuko wa mashirikiano ya kiuchumi wa Korea (EDCF) ambapo anatarajia kukutana na Makamu wa Rais wa…