Category: MCHANGANYIKO
Tanzania na Japan zasaini ushirikiano wa uwekezaji biashara ya Kaboni
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Japan zimetia saini Hati ya Makubaliano ya ushirikiano katika mpango wa pamoja wa uwekezaji katika Biashara ya Kaboni utakaowezesha kampuni za nchi hizo…
BAKWATA: Juni 7 ni siku ya Eid el-adh’ha
BARAZA Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) limetangaza kuwa Sikukuu ya Eid El-Adh’ha kwa mwaka 2025 itafanyika Jumamosi Juni 7. Taarifa hiyo imetolewa leo Mei 29, 2025 na Katibu Mkuu BAKWATA, Alhaj Nuhu Mruma, kwa Waislamu na wananchi wote nchini,…
Dk Biteko ataja maeneo sita ya vipaumbele utekelezaji wa ilani ya CCM 2020/2025
📌 CCM yajivunia kuimarisha upatikanaji wa huduma bora kwa jamii 📌 Rais Samia asema CCM kuzindua Ilani yake kesho 📌 CCM yazalisha ajira 800,000 kwa vijana 2020/2025 Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya…
Waziri Ndejembi aahidi mageuzi sekta ya ardhi
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia – Dodoma Bunge limeidhinisha bajeti ya Sh bilioni 164 kwa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa mwaka wa fedha 2025/26, ambapo Waziri Deogratius Ndejembi ameahidi kuibadili sekta hiyo kwa kuweka mifumo madhubuti ya…
Tanzania, Finland kuboresha ujasiriamali nchini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam UBALOZI wa Finland nchini umesema utaendelea kushirikiana na Tanzania katika kuongeza umuhimu wa matumizi ya mifumo ya kidijiti kwa vijana wajasiriamali ili kuboresha huduma za umma na ujasiriamali. Balozi wa Finland nchini, Theresa…
Vijana waitwa kuwekeza mazao ya bahari
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Darces Dalaam TUME ya Sayansi na Teknolojia Tanzania (COSTECH) imewaita vijana kuwekeza kwenye uchumi wa Buluu kupitia ubunifu katika mazao ya bahari ikiwemo mimea ya bahari, magamba ya chanza na mengineyo. MKurugenzi Mkuu wa COSTECH, Dk…





