Category: MCHANGANYIKO
Watumishi Tume ya Madini wajengewa uwezo matumizi ya mashine za kupima madini ya metali
Katibu Mtendaji awataka kuendelea kuchapa kazi kwa kujituma na uadilifu Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma KATIBU Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Ramadhani Lwamo amewataka watumishi wa Tume kufanya kazi kwa kujituma na weledi hasa kwenye usimamizi wa shughuli za…
Warithi wa Mfugale wapambana kortini
*Jaji abariki wosia uliomweka pembeni mke wa ndoa, watoto 15 *Upande wa mlalamikaji washangaa Mahakama kudharau ndoa ya Kikatoliki Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Uamuzi wa Mahakama Kuu wa kutotambua cheti cha ndoa ya Kikristo umeacha maswali mengi…
Polisi Rukwa kuwasaka waliofukua kaburi na kuondoka na mwili wa marehemu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Rukwa Jeshi la Polisi mkoani Rukwa linawatafuta watu waliohusika kufukua kaburi la Julius Ladislaus (24) aliyefariki Novemba mwaka jana na kuondoka na mwili wa marehemu. Akizungumza na waandishi wa habari jana Kamanda wa Polisi Mkoa wa…
Madiwani Arusha wamwomba Makonda agombee ubunge Arusha Mjini
Na Happy Lazaro, JamhuriMedia, Arusha Arusha .Madiwani wa Baraza la Halmashauri katika Jiji la Arusha wamemuomba Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda agombee ubunge katika Jimbo la Arusha Mjini kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika oktoba mwaka huu 2025. Madiwani…