JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

TAMWA, TCRA kutoa tuzo za wanahabari za ‘Samia Kalamu Award’

Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inatarajia kutoa tuzo za wanahabari zinazofahamika kama ‘Samia Kalamu Award’ zinazolenga kuhamasisha uandishi wa habari za maendeleo unaojikita katika kufanya uchambuzi wa utafiti wa…

Trump: Iran inatufanyia mchezo kuafikiana kuhusu Nyuklia

Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa anaamini Iran inachelewesha kwa makusudi kufikiwa kwa makubaliano ya nyuklia, akionya kuwa hatua hiyo inaweza kuigharimu nchi hiyo kwa kiasi kikubwa, ikiwemo uwezekano wa kushambuliwa kijeshi. Akizungumza na waandishi wa habari nchini Oman…

Chana awaasa wananchi Makete kuacha kuvamia maeneo ya hifadhi

Na Happiness Shayo, JamhuriMedia, Makete Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amewaasa wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete Mkoani Njombe kuacha kuvamia maeneo yaliyohifadhiwa huku akiwataka kuyatumia maeneo hayo katika kujiongezea kipato ili kuwa na…

Kikwete awasilisha ujumbe maalum wa Rais Samia nchini Congo

Rais wa Awamu ya Nne na Mjumbe Maalum wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete amewasilisha Ujumbe Maalum kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Congo (Congo Brazzaville), Mhe. Collinet Makosso Anatole. Anatole alipokea ujumbe huo wa maandishi…

Bodi ya Maziwa kuanzisha bar za kisasa za maziwa

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Bodi ya Maziwa nchini imeweka wazi mpango wake wa kuanzisha Bar maalum za maziwa (Maduka)katika maeneo mbalimbali ya nchi, ikiwa ni juhudi za kuhamasisha unywaji wa maziwa kwa njia endelevu na kuvutia zaidi. Mpango huo unalenga kuboresha…