JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

KilupiI: Ataka kura za maoni zisiwagawe wanaCCM

Na Is-haka Omar,Zanzibar Katibu wa Kamati Maalum ya NEC,Idara ya Organazesheni CCM Zanzibar  Omar Ibrahim Kilupi,amesema zoezi la kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi lisiwagawe wanachama badala yake wawaunge mkono wagombea watakaopitishwa na vikao vya maamuzi.  Ushauri huo…

Dk Mpango afanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Ulinzi wa India

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya India Mhe. Sanjay Seth, mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam. Katika Mazungumzo hayo, Makamu…

Tutaendelea kudhibiti uhalifu wa kifedha – Majaliwa

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa Tanzania itaendelea kushiriki na kutimiza matakwa ya kimataifa katika kupambana na kudhibiti uhalifu wa kifedha. Amesema kuwa Tanzania inatambua changamato za uhalifu wa kifedha na imejidhatiti katika kudhibiti hali hiyo kwa viwango vya kimataifa…

JWTZ lasaidia huduma tiba na afya Jamhuri ya Afrika ya Kati

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania limechangia huduma tiba na afya kwenye hospitali ya Jiji la Berberati iliyoko nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati tarehe 14 Aprili mwaka 2025. Akizungumza mara baada ya uchangiaji wa huduma hizo kwa niaba…

TPDC, ZPDC zaendelea kushirikiana uendelezaji sekta ya gesi nchini

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) mwezi Februari, 2022 liliingia makubaliano ya ushirikiano na Shirika la Maendeleo ya Petroli Zanzibar (ZPDC) ambapo kupitia ushirikiano huo masuala mbalimbali yamekuwa yakifanyika kuiendeleza…

Nachingwea yaanza kunufaika na vituo vya kudhibiti wanyamapori waharibifu

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Lindi Wananchi wa Kijiji cha Nditi, Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi, wameanza kuona manufaa ya vituo vya Askari wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), wakisema kuwa hatua hiyo imechangia kwa kiasi kikubwa kupunguza uvamizi wa…