Category: MCHANGANYIKO
Balozi Nchimbi : Fidia ya mifugo iliyotaifishwa lihitimishwe
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametoa maelekezo kwa Serikali, kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu, kuratibu mazungumzo ya kuwalipa fidia wafugaji ambao mifugo yao ilitaifishwa lakini walishinda kesi mahakamani, ili suala hilo limalizike. Balozi…
Serikali itaendelea kuwalinda wazee – Naibu Waziri Mwanaidi
Na WMJJWMM-Shinyanga Serikali inaendelea kuhakikisha Wazee wanaishi kwa usalama na kulindwa dhidi ya vitendo na aina yoyote ya ukatili kupitia afua mbalimbali ikijumlisha sera, kanuni na mikakati mbalimbali. Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na…





