Category: MCHANGANYIKO
Twende na kasi ya dunia ubunifu na ujasiriamali : Balozi Nchimbi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amewataka wahitimu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe kuendelea kuwa viongozi wa mabadiliko katika soko la ajira la Tanzania, wakienda sambamba na kasi ya…
CCM hatucheki na mtu katika kushika dola, tumejipanga – CPA Makalla
KATIBU wa Halmashauri Kuu ( NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) , Itikadi, Uenezi, Siasa na Mafunzo CPA Amoss Makalla amesema Chama hicho hakicheki na mtu katika kushika dola na katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu wamejipanga kuhakikisha…
Serikali kuendelea kuiwezesha kibajeti IRDP
Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Lameck Nchemba amesema Serikali itaendelea kukiwezesha kibajeti Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP) ili kiweze kuwa na miundombinu na rasilimali watu inayokidhi mahitaji ya utoaji wa elimu kwa viwango bora. Akizungumza kwa niaba ya…
‘Sera ziguse wananchi uchaguzi mitaa’
Wagombea wanawake wa nafasi mbalimbali za uongozi katika Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara, kipindi hiki cha kampeni wametakiwa kujikita kunadi sera zinazowagusa zaidi wananchi, namna ya kuzitatua na kushughulikia kero za sehemu husika Akizungumza wakati wa mafunzo ya kuwajengea…
Askofu Mameo aisifu Afrika kutoa marais wanawake
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Morogoro , Jacob Ole Mameo amewataka wanawake wa Umoja wa Jumuiya ya Kikristu Tanzania (CCT) kutumia nguvu waliyonayo kukemea wanaobeza jitihada zinazofanywa na baadhi ya wanawake walio katika nyadhifa…