Category: MCHANGANYIKO
Serikali Mtandao yatakiwa kuendelea kufanya utafiti
Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia, Arusha Mamlaka ya serikali mtandao imetakiwa kuendelea kufanya tafiti ili kuleta bunifu za Mifumo ya TEHAMA ambayo sio tu itaboresha utendaji kazi bali pia itasaidia kuondoa kero za upatikanaji wa huduma mbalimbali za Serikali kwa wananchi….
Serikali yajidhatiti kuboresha sekta ya kilimo – Dk Biteko
📌 Anadi soko la mazao jamii ya mikunde India 📌 Mnada mazao ya kunde mtandaoni waboresha biashara ya kimataifa 📌 Biashara kati ya Tanzania na India kufikia dola bilioni 7.9 Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati…
Wasiolipia kodi na kuendeleza ardhi waanza kubanwa
Na Munir Shemweta, WANMM Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeanza kuwabana wamiliki wote wa ardhi wasiolipa kodi ya pango la ardhi sambamba na kutoendeleza maeneo wanayomiliki. Wakiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa sharti la kulipa kodi…
Miili ya wanajeshi wa Afrika Kusini waliouawa katika mapigano yarejea nyumbani
Taarifa zinaeleza kuwa takriban wanajeshi 800 waliripotiwa kupelekwa katika eneo la mzozo mapema wiki hii, lakini Jeshi la Afrika Kusini (SANDF) limekataa kuthibitisha rasmi taarifa hizo. Kwa mujibu wa Jeshi la Taifa la Afrika Kusini (South African National Defence Union),…
Mchengerwa awaweka kikaangoni wakurugenzi watoto kusomea chini ya mti
OR-TAMISEMI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa, ameagiza tathmini ifanyike kubaini maeneo ambapo wanafunzi wanalazimika kusoma chini au kukaa chini ya miti. Pia, amewataka wakurugenzi wa halmashauri na wataalamu wao kuandikiwa barua za kujieleza juu ya hali…
Makamu wa Rais afanya mazungumzo na Balozi wa Uganda
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Uganda nchini Tanzania Mhe. Kanali Mstaafu Fred Mwesigye, mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 13 Februari 2025….