Category: MCHANGANYIKO
Majaliwa : Tutaendelea kujiimarisha kiuchumi
*Ampongeza Rais Dkt. Samia kwa kuendeleza mahusiiano ya Kimataifa WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali itahakikisha inajiimarisha katika kukuza uchumi wake kwa kutumia rasilimali zilizopo ili kuweza kumudu kutekeleza maeneo yote muhimu yakiwemo ya sekta ya afya, elimu na maji….
CBE kuanza kutoa PhD ya infomatiki za baishara
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kinatarajia kuanzisha program ya Shahada ya Uzamivu (PhD) katika Infomatiki ya Biashara ili kuleta mabadiliko ya uchumi wa kidijitali na teknolojia katika kufanya biashara za kidijitali kuendana…
Amuua mpenzi wake, naye ajiua kwa kujinyonga
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Adamu Kailanga (30), mfanyabiashara na Mkazi wa Mtaa wa Mkudi wilayani Ilemela mkoani Mwanza, anadaiwa kumuua mpenzi wake aitwaye Benadeta Silvester, (21), kwa kumkaba koo kisha naye kujiua kwa kujinyonga na mtandio. Hivyo Jeshi la…
NCT yaendesha mafunzo jumuishi kwa vitendo kwa wanafunzi wa astashahada
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT) kimeendesha mafunzo jumuishi kwa vitendo kwa wanafunzi wa Astashahada na Stashada, kuonesha kwa vitendo kile walichojifunza katika muhula wa kwanza wa masomo. Akizungumza katika hafla fupi wakati…
LHRC yashinda kesi dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia Arusha Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu leo imetoa hukumu ya mashauri saba yaliyowasilishwa mahakamani hapo kwa nyakati tofauti mojawapo likiwa shauri kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) pamoja na…
TMA,EMEDO waongeza nguvu usambazaji taarifa za hali ya hewa ziwa Victoria
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Katika kuendelea kuboresha usambazaji wa taarifa za hali ya hewa kwa jamii, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetembelewa na Wataalamu wa Shirika lisilo la Kiserikali la Uhifadhi wa Mazingira na Maendeleo ya Kiuchumi…