Category: MCHANGANYIKO
Akiba Commercial Bank Plc yatoa elimu ya kifedha Mbeya kwa wateja zaidi 150
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Mbeya Akiba Commercial Bank Plc (ACB) imewakutanisha Wateja wake Zaidi ya 150 kutoka sekta mbalimbali kuwapatia Elimu ya kifedha ili kuwasaidia kufanya maamuzi sahihi ya kifedha na kuwasaidia kukua kiuchumi. Afisa Biashara Mkuu wa Akiba Commercial Bank…
EWURA yaongeza uelewa kwa wasambazaji na wauzaji wa LPG Arusha
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Arusha Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) – Kanda ya Kaskazini, leo tarehe 19 Juni 2025, imeendesha semina ya kuwajengea uwezo wasambazaji na wauzaji wa gesi ya kupikia (LPG) katika Jiji la Arusha. Meneja…




