Category: MCHANGANYIKO
Dira ya Maendeleo 2050 mbioni kukamilika, Serikali yatamani uchumi wa trilioni moja
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Dkt. Tausi Kida, amesema Serikali ipo kwenye hatua za mwisho kukamilisha Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050, mpango kabambe wa muda mrefu utakaotoa mwelekeo wa maendeleo…
Mbedule ampa tano Chifu Mkwawa kuanzisha tamasha la Wahehe
MDAU wa Maendeleo Mkoa wa Iringa, Wakili Sosten Mbendule amempongeza Chifu Adam Sapi Mkwawa II kwa kuwaleta pamoja katika kuadhimisha tamasha la utamaduni la Wahehe. Wakili Mbedule amesema tamasha hilo la Wahehe lililoanza Juni 16 na kufikia kilele chake leo…





