Category: MCHANGANYIKO
TLS yalaani vitendo vya ukiukwaji wa haki
Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Baraza la Uongozi la Chama cha Sheria Tanganyika (TLS), limelaani vikali vitendo visivyo halali vilivyofanywa na Jeshi la Polisi la Tanzania, ambavyo vimekiuka kwa kiwango kikubwa haki zilizolindwa na Katiba na hadhi ya…
Mwenge wapita Mufindi, mradi wa REA wa bilioni 17 wazinduliwa
📌Rais Samia aipongeza REA utekelezaji miradi ya umeme vijijini 📌Kiongozi wa Mwenge ahamasisha matumizi ya nishati safi na salama 📍Mufindi – Iringa Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2025, Ismail Ussi ameipongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa…
Sekta ya nishati ipo salama chini ya Rais Samia – Dk Biteko
📌Akagua Kituo cha Kupoza umeme – Urambo 📌Amshukuru mama Sitta kwa mchango wake katika mradi 📌Aipongeza TANESCO na ETDCO kwa kukamilisha mradi kwa ufanisi 📌Urambo yapata umeme wa uhakika, yachangia TANESCO sh. bilioni 4.5 Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na…
TARURA kuanza kutangaza zabuni za mwaka 2025/2026
*Barabara zenye changamoto kufikiwa *Zipo barabara zenye kipaumbele kwa jamii Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Singida Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mhandisi Victor Seff amewaagiza Mameneja wa Mikoa nchi nzima kuanza kutangaza zabuni za mwaka…
Tanzania yanadi fursa za biashara na wawekezaji Vietnam
Mkurugenzi wa Idara ya Diplomasia ya Uchumi na Biashara ya Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushrikiano wa Afrika Mashariki Balozi John Ulanga ameongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo na makumpuni ya Viet Nam, ambapo wamenadi fursa mbalimbali…
Tume ya TEHAMA ilivyoshiriki kwa mafanikio sherehe za Mei Mosi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam TUME ya TEHAMA (ICTC) imeshiriki kikamilifu katika sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani mwaka huu ambazo kwa Jiji la Dar es Salaam, ziliongozwa na Mkuu wa Mkoa huo, Albert Chalamila. Ikiwa ni taasisi…