JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Vijiji vitano Mbulu Mjini kunufaika na Mradi wa Maji kupitia Program ya visima 900

Na Mary Margwe, JamhuriMwdia, Mbulu Vijiji vitano vya Gedamar, Qatesh, Landa, Murray na Nahasey katika Halmashauri ya Mji wa Mbulu Mkoani Manyara vinatarajia kunufaika na Mradi wa Maji kupitia Program ya visima 900 chini ya Wakala wa Maji na Usafi…

Dk. Slaa arejea, awaomba radhi CHADEMA

Na Ruja Masewa, JamhuriMedia, Mbeya Kufuatia mkwaruzano baina ya Dk. Wilbroad Slaa na CHADEMA, mara baada ya kuachiwa huru na Mahakama amesema, kuanzia leo Machi 23, 2025 anaanza kutangaza ‘No reforms, No Election’ (bila mabadiliko hakuna uchaguzi). Slaa alisema hayo…

Waziri Mkuu atembelea kiwanda cha kuchakata parachichi Njombe

*Ampongeza Kamishna TRA kwa kusimamia weledi patika ukusanyaji wa kodi -Atembelea kiwanda cha uchakataji mazao ya parachichi WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amezitaka jumuiya za wafanyabiashara nchini kuendelea kuwa na imani na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwani amedhamiria kutatua changamoto…

Rais Alhajj Dk Mwinyi akizungumza kongamano la kiimani kwa viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akielekea katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja, kuhudhuria Kongamano la Kiimani Kwa Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, lililofanyika katika Ukumbi huo…

INEC yaongeza siku mbili za uboreshaji Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Dar

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza kuongeza siku mbili zaidi za zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Mkoani Dar es Salaam ambapo sasa zoezi hilo litamalizika Machi 25,…