Category: MCHANGANYIKO
TAKUKURU Mtwara waokoa mil 31/- za viuatilifu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mtwara Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Mtwara imefanikiwa kuokoa zaidi ya Sh milioni 31 fedha za viuatilifu katika msimu wa kilimo mwaka 2024/2025. Akizungumza jana mkoani Mtwara, Naibu Mkuu wa Takukuru Mkoa…
Naibu Waziri Londo azinadi fursa za kiuchumi nchini Urusi
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki, Dennis Londo amezinadi fursa za mbalimbali za kiuchumi ikiwemo uwekezaji, biashara na utalii nchini Urusi wakati alipokutana kwa mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo…
‘Kukamilika mradi wa umeme Rusumo kunazidi kuimarisha gridi ya Taifa’
*Ni mradi wa megawati 80 unaotekelezwa na Tanzania, Burundi, Rwanda *Kila nchi yafaidika na megawati 26.6 *Kamati yasema mradi utazidi kuimarisha uhusiano mzuri wa Tanzania, Burundi, Rwanda Imeelezwa kuwa, mradi wa kufua umeme unaotokana na maji wa Rusumo, umeanza kuzalisha…
‘Tumieni mapato ya ndani kutekelea miradi’
Kamati ya kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI chini ya Mwneyekiti wake Mhe. Justin Nyamoga imeelekeza Uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke kutekeleza miradi mbalimbali kupitia mapato ya ndani kwani ni miongoni…
Trump, Putin wazungumza kwenye simu kuhusu vita nchini Ukraine
Trump na Putin wazungumza kwenye simu kuhusu vita nchini UkraineRais wa Mteule wa Marekani amemtaka mwenzake wa Urusi kutoendelea kuchochea vita nchini Ukraine, kulingana na Gazeti la “Washington Post”.Donald Trump alizungumza na Rais wa Urusi Vladimir Putin siku ya Alhamisi…