Category: MCHANGANYIKO
Serikali kuendelea kushirikiana na wadau sekta ya misitu
Na Happiness Shayo, JamhuriMedia, Njombe Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amesema Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali wa Sekta ya Misitu ili kuleta ufanisi na manufaa zaidi katika…
Majaliwa: Tuwapende, tuwajali wanafunzi wenye mahitaji maalum
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wanafunzi wa shule zote nchini kuwatunza, kuwapenda na kuwajali wanafunzi wenzao wenye mahitaji maalum ili nao waweze kutimiza ndoto zao. Amesema Serikali imejenga miundombinu bora ambayo sasa inawawezesha wanafunzi wenye mahitaji maalum kusoma…
Mkuchika atangaza rasmi kutogombea ubunge
Mbunge wa Jimbo la Newala Mjini mkoani Mtwara ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum) Kapteni Mstaafu George Mkuchika ametangaza rasmi kutogombea tena nafasi ya ubunge katika uchuguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025. Akizungumza wakati…
Kuondolewa kwa hitajio la VISA kwa Watanzania wanaoingia DRC
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inapenda kufahamisha Umma kwamba, Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imeondoa hitajio la Visa kwa raia wa Tanzania wanaoingia DRC kuanzia tarehe 20, Machi, 2025. Baada ya Jamhuri…