Category: MCHANGANYIKO
Maduka 17 ya soko la Buseresere Geita yateketea kwa moto
Na Mwanishi Wetu, JamhuriMedia, Geita Ajali ya moto imeteketeza maduka na vibanda 17 vya biashara katika soko la Buseresere wilayani Chato Mkoa wa Geita hali iliyosababisha uharibifu na hasara kubwa ya mali. Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa…
Mitano tena ni kwa Samia tu, wengine wasubiri mchujo
*Wasira asema madiwani, wabunge wasubiri mchujo kura za maoni *Asisitiza haki kutendeka katika kupata wagombea , akemea rushwa *Atoa rai kwa wananchi kuwapuuza viongozi wa kisiasa wanaohubiri chuki *Awapiga kijembe CHADEMA, awaambia mchawi wao ni wao wenyewe Na Mwandishi Wetu,…
Leo Bajeti Kuu kuwasilishwa bungeni
Bajeti Kuu Kuwasilishwa Bungeni leo Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,DODOMA Serikali inatarajia kuwasilisha Bajeti Kuu leo pamoja na Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2025, ambapo kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, uchaguzi mkuu unaotarajiwa mwaka ujao…
Rais Samia kutembelea Simiyu na Mwanza, ashiriki Tamasha la Utamaduni Bulabo
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuanza ziara ya kikazi katika mikoa ya Simiyu na Mwanza kuanzia tarehe 15 hadi 21 Juni mwaka huu ambao atakagua miradi ya maendeleo, kabla ya…
Kauli ya Chatanda Mkuranga yazua jambo
*Wana CCM wahoji kama kuna haja ya Kura za Maoni. *Ni baada ya kuwataka wasihangaike na wengine zaidi ya Ulega kwenye ubunge. Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mkuranga Mjumbe wa Kamati kuu ya Chama cha Mapinduzi( NEC) Taifa na Mwenyekiti wa…
Usawa wa kijinsia ni kipaumbele cha Serikali – Dk Jingu
Na WMJJWM, Dodoma Katibu Mkuu wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. John Jingu amesema Serikali inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imezingatia masuala ya Usawa wa kijinsia katika nyanja mbalimbali ikiwa juhudi za Serikali katika…





