JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Arusha mbioni kuwa kitovu cha utalii wa matibabu ukanda wa Afrika Mashariki

Na Happy Lazaro, JamhuriMedia, Arusha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda na Waziri wa Afya nchini Tanzania Jenista Mhagama, wamekubaliana kukutana Dodoma makao makuu ya wizara hiyo, kufanya mazungumzo ya pamoja ya kupanga utekelezaji wa ndoto na maono…

Lema : Sitagombea ubunge Arusha 2025, atakayegombea nitamsaidia

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Godbless Lema, ameweka wazi kuwa kuna watu walienda kwa mama yake mzazi kumtaka azungumze nae ili amuunge mkono kaka yake Freeman…

Lema atangaza kumuunga mkono Lissu, amshauri Mbowe kukaa pembeni

Na Isri Mohamed, JamhiriMedia, Dar es Salaam Aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA), Godbless Lema, ametangaza rasmi kumuunga mkono Tundu Lissu anayegombea nafasi ya mwenyekiti wa chama hicho na John Heche anayegombea makamu…

Lori laua 11 waliokwenda kutoa msaada kwenye ajali Segera mkoani Tanga

Na Ashrack Miraji,JamhuriMedia, Tanga WATU 11 wamefariki dunia katika Kijiji cha Chang’ombe kilichopo Kata ya Segera wilayani Handeni mkoani Tanga baada ya kugongwa na lori lililokuwa limebeba saruji baada ya kupoteza uelekeo wakati walipojitokeza barabarani walipokuwa wakishanga ajali ya gari…

DAWASA, wananchi Mshikamano wajadiliana uboreshaji huduma maji

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam SERIKALI kupitia Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) imesema inaendelea na mchakato wa manunuzi ya pampu zitakazosaidia kuongeza ufanisi katika mtambo wa uzalishaji maji Ruvu Juu ambao husambaza maji katika maeneo…

Waandishi na wachapishaji vitabu kukutana kesho Dar

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam BODI ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB), imeandaa mkutano wa waandishi na wachapishaji wa vitabu kuhusu Sheria ya amana kwenye maktaba mtandao wa taifa na ununuzi wa vitabu kwa ukuzaji wa soko la…