JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Wataalam NIRC waaswa kuzingatia sheria ya manunuzi

na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Wataalam Tume Ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), wamekumbushwa kuzingatia sheria na kanuni mpya za manunuzi katika usimamizi wa miradi na utekelezaji wa manunuzi. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mkuu Tume ya Taifa ya Umwagiliaji, Raymond Mndolwa, wakati…

Jukwaa la Wahariri lakerwa na mwenendo wa Waziri Silaa

Jukwaa Wahariri Tanzania (TEF), limesikitishwa wa mwenendo wa Waziri wa Habari, Jerry Sila kutohudhuria matukio muhimu ya kihabari anayoalikuwa kama mgeni rasmi. Hayo yamebainika leo katika mkutano TEF ulioanza jijini Dar es Saalam ambapo alikuwa mgeni rasmi na badala yake…

Wadau wapongeza sera ya kuwawezesha wazawa kiuchumi

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Serikali imesema kuwa mchakato wa kutengeneza rasimu ya Sera ya kuwawezesha wazawa (Local Content) kushiriki katika shughuli mbalimbali za kiuchumi kupitia sekta mbalimbali mtambuka utasaidia kujenga uchumi wa nchi pindi utakapokamilika. Akizungumza wakati wa…

Rais Samia apeleka neema Tabora

📌Aidhinisha Bilioni 19 kusambaza umeme vitongojini 📌Kaya 5,940 kutoka katika Vitongoji 180 kunufaika Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unatekeleza mradi wa Shilingi Bilioni 19 wa kusambaza umeme katika vitongoji 180 utakaonufaisha Kaya 5,940 Mkoani Tabora. Hayo yameelezwa na Msimamizi wa…

Makalla ampongeza Lissu

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (CCM-NEC), Itikadi Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla amempongeza Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu kwa kuwa muwazi kusema kuwa hawawezi kusimamisha wagombe kila kijiji, mtaa na…

Auawa kwa kukutwa na aliyekuwa mke wa mtu

Jeshi la Polisi Mkoani Geita linamshikilia Athumani Baseka (39), fundi seremala na mkazi wa kijiji cha Kamhanga wilayani Geita kwa tuhuma za mauaji ya Faida Lucas (34) ambaye ni mkulima na mkazi wa kijiji cha Bugalama. Tukio hilo lilitokea usiku…