JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Kamati ya Bunge yaridhishwa na utendajikazi wa TPA bandari ya Tanga

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tanga Kamati ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu imesema imeridhishwa na utendaji kazi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) katika Bandari ya Tanga hasa baada ya maboresho makubwa ya miundombinu yaliyofanywa na Serikali bandarini…

Askari wa Usalama Barabarani Mlandizi watakiwa kuendelea kusimamia vyema sheria

Na Mwandishi, Jeshi la Polisi, Mlandizi Mkuu wa kikosi cha usalama Barabarani Wilaya ya Kipolisi Mlandizi Mrandizi Msaidizi wa Polisi (ASP) Rose Mbaga amekutana na Askari wa kikosi hicho na kuwataka kutekeleza majukum yao kwa Mujibu wa sheria ili kupunguza…

Watumishi wa ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali watakiwa kuendelea kuzingatia maadili ya utumishi umma

Na Mwandishi wetu, JamhuriMedia, Dodoma MWANASHERIA Mkuu wa Serikali Hamza Johari amewataka Watumishi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuzingatia maadili ya Utumishi wa Umma ili waweze kutoa huduma bora kwa Wananchi. Mwanasheria Mkuu wa Serikali amezungumza hayo wakati…

DC Kibaha afungua Baraza Kuu la Wafanyakazi Dawasa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kibaha MKUU wa Wilaya ya Kibaha, Nickson Simon amefungua kikao cha Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA). Akifungua kikao hicho katika Shule ya Uongozi ya Mwalimu…

Umeme wa Jotoardhi kuunganishwa kwenye Gridi ya Taifa ifikapo 2030 – Mramba

📌 Mikoa 16 kunufaika na Nishati ya Jotoardhi 📌 SEforALL yatakiwa kuwekeza katika utafiti na ubunifu Tanzania imelenga kuunganisha nishati ya jotoardhi kwenye gridi ya taifa ifikapo mwaka 2030 ili kuwa na umeme wa uhakika unaotokana na nishati jadidifu kuelekea…

Mifumo rafiki ya upatikanaji wa nyaraka iwekwe kuwafikia wananchi kwa wakati

Na Mwandishi Wetu Idara ya Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali yatakiwa kuweka mifumo mizuri ya usambazaji wa nyaraka za wazi kwa wananchi kupitia mifumo ya kidigitali na hata kwa mifumo ya nyaraka ngumu ili wananchi wanufaike na taarifa hizo. Hayo…