Category: MCHANGANYIKO
DAWASA yaahidi uhakika wa uzalishaji wa maji Dar
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam(DAWASA) DAWASA, Mhandisi Mkama Bwire, amesema kuwa uwezo wa uzalishaji wa maji katika Jiji la Dar es Salaam umeongezeka kutoka lita…
Tunataka kuwa championi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 – Mwanasheria Mkuu wa Serikali
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mwanasheria Mkuu wa Serikali Hamza Johari amesema kuwa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali imeshiriki kikamilifu katika kutoa maoni katika utengenezaji na uandaaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 ili kuhakikisha kuwa Dira…
Dodoma jiji kinara matumizi ya teknolojia kwenye elimu – mbunge Mavunde
▪️Agawa Kompyuta na Printa kwa shule zote za Sekondari za Jiji la Dodoma ▪️Azindua maabara ya lisasa ya Kompyuta ▪️Matumizi ya teknolojia yaongeza ufaulu ▪️Rais Samia apongezwa kwa kuboresha miundombinu ya elimu Dodoma Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh….
Tanzania kuadhimisha kitaifa Siku ya Haki ya Mtumiaji Machi 15 Morogoro
Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar es Salaam TANZANIA inatarajiwa kuungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Haki ya Mtumiaji Duniani Machi 15, 2025 ambapo kitaifa maadhimisho hayo yatafanyika mjini Morogoro yakiongozwa na kauli mbiu isemayo ‘Matumizi endelevu ya rasilimali…
Mwakinyo ashikiliwa na Polisi Tanga kwa tuhuma za kujeruhi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tanga Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linaendelea na uchunguzi wa tukio la Bondia Hassan Mwakinyo (29) tuhuma za kumjeruhi na kumshambulia mkazi wa Sahare Jijini Tanga Mussa Ally (21) mvuvi mkazi wa Sahare Jijini Tanga….