JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Serikali yazindua mradi wa mazingira Kigoma

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kigoma Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNCHR) imezindua Mradi wa Kujenga Uwezo wa Kuhimili Mabadiliko ya Tabianchi katika Mazingira…

JKCI, UNA VOCE PER PADRE PIO wasaini mkataba kuwasaidia watoto wenye matatizo ya moyo Afrika

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMdia, Dar es Salaam Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imesaini mkataba wa kushirikiana na Shirika la UNA VOCE PER PADRE PIO lililopo nchini Italia kuwasaidia watoto wenye magonjwa ya moyo waliopo barani Africa. Mkataba huo umesainiwa…

Maboresho ya Rais Samia, yaukuza thamani mfuko WCF wafikia bilioni 748/-

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), John Mduma (WCF), amesema maboresho mbalimbali yaliyofanyika ndani ya mfuko huo chini ya Rais Samia Suluhu Hassan yamechagiza ukuaji mkubwa wa mfuko huo ambapo…

Rais wa Finland atembelea makumbusho ya Taifa

Na Happiness Shayo, Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Finland, Mhe. Alexander Stubb, ametembelea Makumbusho ya Taifa la Tanzania jijini Dar es Salaam na kuonesha kufurahishwa na maonesho ya historia ya mwanadamu yaliyopo katika jumba hilo la kihistoria. Akizungumza…

Mauzo ya bidhaa nje ya nchi yaongezeka kwa asilimia 61.2 — Dk Jafo

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Wizara ya Viwanda na biashara imeendelea na jitihada za kukuza mauzo ya bidhaa nje ya nchi ambapo katika kipindi cha miaka minne mauzo katika soko la Jumuiya EAC yaliongezeka kutoka dola za Marekani milioni 1,161.2…

Mchango wa Madini katika Pato la Taifa wazidi kuimarika

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma Serikali imesema mchango wa sekta ya madini katika Pato la Taifa umeendelea kuimarika na kukua kutoka asilimia 7.3 mwaka 2021, asilimia 9.1 mwaka 2023 na kufikia asilimia 10.1 mwaka 2024. Waziri wa Madini Anthony Mavunde ameeleza…