JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Wizara ya Madini yahamia rasmi Mtumba

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, ameongoza watumishi wa wizara hiyo kuhamia na kuanza rasmi kazi katika jengo jipya la kisasa la Wizara hiyo lililopo eneo la Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma. Hatua hiyo inalenga kurahisisha utoaji…

CRB yatakiwa kuchukua hatua kwa wakandarasi wanaoshindwa kufuata masharti

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Bodi ya usajili wa makandarasi nchini (CRB) imetakiwa kuchukua hatua madhubuti dhidi ya makandarasi wote wanaothibitishwa kukiuka wajibu wao. Waziri wa ujenzi Abdala Ulega alizungumza hayo, wakati wa uzinduzi wa mkutano wa mashauriano…

Mpango atoa rai kwa viongozi kushirikana na taasisi za misitu na utafiti

Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango ametoa rai kwa viongozi wa mikoa kwa kushirikiana na taasisi za misitu na utafiti waanzishe bustani za mimea zinakazosaidia vijana kutafiti na kutengeneza dawa. Dk Mpango alitoa rai hiyo wakati wa maadhimisho ya miaka…

Muhimbili yakabiliwa na upungufu wa damu kwa asilimia 60

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) Dar es Salaam imeeleza kuwa ina upungufu wa damu kwa asilimia 60 kutokana na kiwango kidogo cha upatikanaji wa damu ikilinganishwa na uhitaji wa damu kwa siku….

Wakandarasi wazembe kuchukuliwa hatua

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali imeiagiza Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB) kuwachukulia hatua makandarasi wazembe wanaosababisha hasara na athari kwa serikali na wananchi kwa kutokamilisha miradi kwa wakati. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametoa agizo hilo leo…

Udanganyifu soko la bima nchini wapatiwa tiba

Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia, Arusha Wadau kutoka sekta ya bima nchini na nje ya nchi wameungana pamoja kutafakari changamoto na mambo mbalimbali ya kisekta ili kuanzisha msingi thabiti wa kuondokana na changamoto za udanganyifu katika soko la bima. Akizungumza kwenye…